PreGE2025 Wameanza kuombewa na Masheikh mixa Wachungaji, muda si mrefu waganga wanarudi kwenye soko. October pamoto!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kikwete anayo maslahi katika GENGE hili linaloendesha CCM. Huyu ni muhusika wa karibu sana na hali mbovu inayoendelea nchini sasa hivi.
Ni kiungo muhimu sana anayeendesha GENGE la askari wa Samia. Hili ni muhimu watu walitambue vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…