General Nyange
Member
- Nov 11, 2011
- 11
- 0
Sasa madai yenu ya mwanzo yemesikiliza?
Furaha ilioje UDSM! baada ya wanafunz 41 waliokamatwa na wengine waliojikamatisha wamekutana Rev Sqre na kuwashukuru wote walioshirik mgomo barid wa kutoingia darasan kwa malengo ya kuwarudisha na kuwaweka huru wanaharakat hao waliopelekwa segerea, then kisutu! Sasa UDSM mambo swari.. Nmeamin kwamba "NO RYT WTHOUT FYT IN TZ" kwan kama sio mgomo huo wasingeachiliwa 4eva
Safi hizo ni habari mbaya kwa wasiopenda watanzania wengi wasijikomboe, lakini ni habari njema kwa watanzania wengi ambao bado wanaishi chini ya dola moja kwa siku, pamoja na kwamba serikali yao inajiita ya kidemocrasia lakini imeshindwa kuwatumia wataalamu iliyowasomesha kwa kodi za wavuja jasho hao hao kubuni na kuibua miradi yenye kuinua kipato cha mtanzania mmoja mmoja.
Vijana UDSM siku zote nyie ndo ROLE MODEL ya kudai haki za wanafunzi wote nchini, mkilala nyie basi mnatakuwa mnaliangamiza taifa kupitia uwakilishi wenu wa vijana katika elimu ya juu. Kumbukeni, migomo udsm ni sehemu pia ya mafunzo.
kweli umeongea k2, na watanzania wote hasa wanafunz wa vio vikuu wanaamin kua bila UDSM haki zao kapun! Penye ukwel 2ambizane, kwan kama sio mgomo wa UDSM boom lisingepanda from 5000 to 7500tsh per day. Pia sasa hiv 2nampango wa kutetea taifa kwa ujumla kwan viongoz weng wa nchi hii wanataka kuliangamiza taifa kwa manufaa yao binafs. Ha2tavumilia hili hata kidogo, pia nawaomba wanachuo wengine wa vio mbalmbal muige mfano wa UDSM na muondoe hizo mentalities kwamba mnasoma ili muajiriwe, siyo kwel..! BALI 2nasoma ili 2weze kupambana na challengez zinazo2face., na moja ya hizo challengez ni kudai hak ze2 pale 2naponyimwa, na pia kuwatetea wenze2 haki zao ambao hawakupata bahat ya kusoma elim ya juu., kwa pamoja 2naweza! 2simame kidete kwa haki sawa kwa kila Mtanzania! "MNYONGE MNYONGENI LAKIN HAKI YAKE MPENI" ameiiiin...!
Je wameachiwa kwa masharti gani?
Kwa walichokipata hawatakaa warudie tena kugoma.
Wakirudia tena, hakuna haja ya kuwapeleka polisi. Ni kuwatimua chuo. Waende wakaanzishe migomo huko kwao.
Kwa walichokipata hawatakaa warudie tena kugoma.
Wakirudia tena, hakuna haja ya kuwapeleka polisi. Ni kuwatimua chuo. Waende wakaanzishe migomo huko kwao.
kwahiyo unaona wao ni wajinga au walikua wanadai upumbavu! Jichunge, acha kuonge nonsenc! Hujui lolote na unaihitaji kuanza nursary xul na cjui itakuchukua muda gani ili nawe ufike UDSM ukajionee mwenyewe. Badilika la sivyo itakucost,., "Asiejua maana asiambiwe maana" wanaJF 2shakuchoka kwa upumbavu wako.
Post zako zinakera sana hebu pima kitu unachoandika kama kina fanana na elimu ulinayo maana nishapata wasiwasi na ELIMU YAKO.
Na migomo udsm haikuanza leo tutagoma sana tuta andamana sana, tukidai masilai ya watanzania. Nyie sasa mnaofaidika na mfumo mbovu, mme tumwa humu ndani kuvurungu mada za msingi ipo siku mtatafuta pakuji ficha.
Hahahah kweli wamebana wameachia. HAKUNA NGUVU KUBWA YA KUZIDI UMMA.Furaha ilioje UDSM! baada ya wanafunz 41 waliokamatwa na wengine waliojikamatisha wamekutana Rev Sqre na kuwashukuru wote walioshirik mgomo barid wa kutoingia darasan kwa malengo ya kuwarudisha na kuwaweka huru wanaharakat hao waliopelekwa segerea, then kisutu! Sasa UDSM mambo swari.. Nmeamin kwamba "NO RYT WTHOUT FYT IN TZ" kwan kama sio mgomo huo wasingeachiliwa 4eva
Wenzenu walichokipata huko hizi siku 7 walizokaa rumande hawatakaa waje wasahau....na ukute wengi wao hawakugoma walikutwa wanasoma kwenye vimbwete!!!wamesota jela wamelala na majambazi....wameona dunia mpya kabisa maishani mwao!!!acheni nyie kule sio kabisa ni dunia nyingine kabissssaaaaaa!!!!!!
angalia usije uka-disco, badala ya kusoma we kila saa upo jf kupost maswala yasiyo na kichwa wala miguu.
Nakushauri usome, wanaharakati walikuwepo enzi ya kina Mtatiro sio nyie wapaka poda.