Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

naona yanashugulikiwa kwa kasi kubwa xana kwan mpaka sasa wanafunz zaid 140 wa Udsm wameekewa BOOM. Na bado wanaendelea kuweka, wakisitisha kama kawa 2NALIANZISHA TENA

mi kusikia kunogaaaa, bhaaaaaaaaa! wakigleta za kuleta na nyie mnagoma mpaka kieleweke nchi hiii, watu wamejisahau sana
 
Kwa kweli enyi vijana wa UDSM hamna chuo cha kuwaiga hapa Nchini, nawapenda sana vjana wa UD kwa kuwa wengi wenu ni wanaharakati na mnajua jinsi ya kupambana na magamba!!!

Mkuu ndiyo tofauti ya chuo kuwa na wanafunzi waliofanya vizuri class na wale vilaza wa vyuo vingine. Ila SUA nao wako juu ingawa nao huwa hawaeleweki sometime wanageuka na kuwa kama CUF vileeeeeeeee!
 
Mkuu ndiyo tofauti ya chuo kuwa na wanafunzi waliofanya vizuri class na wale vilaza wa vyuo vingine. Ila SUA nao wako juu ingawa nao huwa hawaeleweki sometime wanageuka na kuwa kama CUF vileeeeeeeee!

endelea kujisifia na vyeti vyako vya necta kwa kupata banda nyingi huku wenzio wakijisifu na scholarship kwa kutumia kodi yako na nikikupa mchanganuo jinsi wanavyopewa hundi(vifurushi vya ela) humu unaweza ukaenda kumchinja hata GAMBA KUU ngoja niache.
 
Furaha ilioje UDSM! baada ya wanafunz 41 waliokamatwa na wengine waliojikamatisha wamekutana Rev Sqre na kuwashukuru wote walioshirik mgomo barid wa kutoingia darasan kwa malengo ya kuwarudisha na kuwaweka huru wanaharakat hao waliopelekwa segerea, then kisutu! Sasa UDSM mambo swari.. Nmeamin kwamba "NO RYT WTHOUT FYT IN TZ" kwan kama sio mgomo huo wasingeachiliwa 4eva

je walio simamishwa masomo wamerejeshwa? na je wamafunzi walonyimwa mikopo wamepewa.
 
huu uandishi wako umekaa kiajabuajabu. Kweli Elimu imevamiwa. Jaribu kuwa makini ktk uandishi wako. Wewe ni university material. Acha kutuandikia kama mtu ambaye hajasoma.

Sasa mtu ambaye hajasoma atawezaje kuandika?
 
Back
Top Bottom