GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Thubutu......!!!Na tunaomba hiyo mechi mazoezi iruke live kutoka Cairo international hata na pyramid
Kama kawaida yangu hapa JamiiForums na nje ya JamiiForums.Umenena vyema mkuu
Amina Mkuu na Asante kwa Dua yako hii.Genta wewe ni peponi moja kwa moja
Kweli kabisa chiefNajua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
Daah mzee Leo umeongea fair Sana Yanga kweli imejitahidi kiasi chake leoNajua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
Heri inyeshe mjue panapo vuja!Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
AàaaahaaWananchi walijivika mabomu, wakatest kikosi chao hadharani.
Magoma alianzaga vivi hivi .Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu lem
😂😔Ushirikina amuachie nani?Genta wewe ni peponi moja kwa moja
Ulitaka tufungwe 5 kama nyie?Mnawasifu bure hao watoto wa Mzee Magoma. Walizusha Simba kala 6 kwa sababu walikuwa matumbo joto na mechi hizi walizoenda kucheza SA, walitaka kutengeneza mazingira wakichapwa waseme na nyie mmefungwa 6 kwa mechi waliyoitunga. Leo wanalala unono baada ya kuchapwa 2 tu, wanaweza hata kujikojolea vitandani leo.