Wamechelewa kuanza Mazoezi ya Pre Season ila leo wamekipiga kwa Mkaburu, na tuliowatangulia Kutwa tunacheza Mechi Mazoezi tu huko wa Farao

Wamechelewa kuanza Mazoezi ya Pre Season ila leo wamekipiga kwa Mkaburu, na tuliowatangulia Kutwa tunacheza Mechi Mazoezi tu huko wa Farao

Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
Wale mbumbumbu wa Simba wewe ni kiongozi wao
 
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
Wakithubutu kucheza mechi ya kirafiki na timu inayojielewa na wakaonyesha kwenye runinga live nitakunya mavi dar nzima! Awawezi ata kwa dawa viongozi wenu unafikiri ni wajinga wanajua mkitandikwa akuna atakayeonekana uwanjani kwenye Simba day, na wanajua bado Amna timu pale ya kushindana ni propaganda tu za kina Ahmed Aly
 
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
Wewe na mipira tu..
 
Nimeona kocha wa Simba akilizungumzia hili la mechi za kirafiki. Amesema kuwa wiki hii wamecheza mechi moja, na wiki ijayo watacheza mechi mbili jumla itakuwa ni mechi tatu. Ila mechi wanazocheza hazifiki dakika 90 bali wameanza na dakika 45, kisha dakika 60 kisha kwenye Simba day ndio watafikisha dakika 90. Kwahiyo mechi za Simba zitaendelea kuwa kuwa za siri siri hadi siku ya Simba day ndio itaoneshwa live.
 
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu tuthubutuni kama Wenzetu leo.
Si unajua nyie wazee wa sold out, wakionyesha hamtokuja uwanjani.

Hapo ndipo mjuege why Yanga anabakigi Avic Town,uzuri mwaka huu kapata mwaliko SA,ila mwanzoni alitangaza kambi kama kawa itakuwa Avic Town.

Preseason huitaji timu zile za daraja la juu sana kupambana nazo,bali unahitaji mechi nyingi hata hizi timu za daraja la kwanza na ukipata timu chache za ligi kuu inatosha.Nia ya Preseason kutest mifumo, kuangalia viwango vya wachezaji wako nk so ukipata labda mechi 5+ za timu kutoka daraja la kwanza na 3+ kutoka ligi kuu inatosha kabisa, kukupa picha mifumo utakayo itumia,first eleven yako ya msimu mpya wa ligi na hata sub zako.

Nyie mnajali sold out, so subirini 5imba baadae mjitambe na sold out humu JF.
 
Mnawasifu bure hao watoto wa Mzee Magoma. Walizusha Simba kala 6 kwa sababu walikuwa matumbo joto na mechi hizi walizoenda kucheza SA, walitaka kutengeneza mazingira wakichapwa waseme na nyie mmefungwa 6 kwa mechi waliyoitunga. Wamezoea kujitekenya na kucheka wenyewe.

Usiku wa leo watalala unono baada ya kuchapwa 2 tu, wanaweza hata kujikojolea vitandani hawa vyura.
Yanga inacheza vizuri hata TV za SA watangazaji walikua wanaongelea hilo kuwa hata mechi ya Mamelodi kucheza vibaya ni kutokana na ubora wa Young Africa...
 
Timu iliyocheza na yanga ina point 34 kwenye ligi yao,pia ilichezesha kikosi Cha pili wakati yanga wana points 80 ni walichezesha kikosi Cha kwanza Bado wakala za uso .hii ina maana kuwa yanga ni kama daraja la pili kule ujerumani...ati wanajisifu
 
Simba imeenda kucheza mechi ya kirafiki na vibonde, hii Simba kwa maandalizi haya tutegemee lolote baya msimu ujao.
 
Back
Top Bottom