Wamefunga mtandao X ila na wenyewe baada ya kufunga wanatumia VPN. Habari wanataka kumpa raia gani wakati hamtaki wageni kusoma mambo ya nchi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa ndio ukomo wa akili wa hawa chawa mama ccm.

Unajionesha wewe ni imara sijui uteteleshwi ila mda si mfupi unaenda kuwa lilia mikopo ya vyoo vya mashule.

Kufunga mtandao X na bado unatumia kutoa habari zenu za vyama vya ccm na serikali mnataka wasome nani.
 
Attachments

  • 20250528_191328.jpg
    20250528_191328.jpg
    232.9 KB · Views: 23
Ni sawa na mbuni kujificha kichwa wakati makalio yako wazi
 
Msichukulie poa kupotea kwa x, ni maandalizi ya kitakachotokea wakati wa uchaguzi mkuu.
Jihadhari
 
Hii nchi ilibidi ifutwe tuu, ipatikane nchi tofaut na hii ya sasa
 
Back
Top Bottom