bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Aloo mashabiki wa Tanzania ipo kazi sana, baada ya Yanga kupiga soka la kitabuni dhidi ya Tp Mazembe, Real Bamako na Montasir wale wa upande kule ambao kwa yanga kila kitu kibaya wameibuka na cheap propaganda kwa kuanza kusema michuano ya Shirikisho ni mepesi.
Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya Mtanzania hata makazini fitna kwa wale wanaofanya majukumu yao vizuri. Kipindi yanga inapitisha bakuli hizi kelele hazikuwepo zimeanza baada ya mafanikio kuja chini cha mwendesha jahazi makin eng Hersi Said.
Pasipo na shaka kati ya timu zinazopigwa vita kwa sasa ni Yanga, bila unazi hivi kuna mtu anadiriki kusema Tp mazembe ni wabovu au real bamako basi wengi wenu mtakua hamwangalii soka ukicheki ile gemu ya Tp Mazembe Bato ya Viungo wa kati pale halikua la kitoto ni weka niweke mwenye Mid nzuri ndio alishinda game natamani sana wenye kelele nyingi waombe gemu la kirafiki na Real Bamako au TP mazembe tuwaone.
Tujifunze kusifia kwa sasa yanga wana timu nzuri na benchi la ufundi zuri wale viungo wa Real Bamako sijui kama mliwaona halafu anatokea mtu anakwambia ni timu ya kawaida tupeane muda utasikia nusu ya wachezaji wa Real Bamako wapo Ulaya