Wamegeuka timu za Shirikisho ni nyepesi

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Aloo mashabiki wa Tanzania ipo kazi sana, baada ya Yanga kupiga soka la kitabuni dhidi ya Tp Mazembe, Real Bamako na Montasir wale wa upande kule ambao kwa yanga kila kitu kibaya wameibuka na cheap propaganda kwa kuanza kusema michuano ya Shirikisho ni mepesi.

Wanasahau wao wenyewe walitumia ulozi pale south Africa ila kilichotokea Inonga na MKude ni mashahidi, hapa tunajifanya ni utani wa jadi ila ndio tabia halisi ya Mtanzania hata makazini fitna kwa wale wanaofanya majukumu yao vizuri. Kipindi yanga inapitisha bakuli hizi kelele hazikuwepo zimeanza baada ya mafanikio kuja chini cha mwendesha jahazi makin eng Hersi Said.

Pasipo na shaka kati ya timu zinazopigwa vita kwa sasa ni Yanga, bila unazi hivi kuna mtu anadiriki kusema Tp mazembe ni wabovu au real bamako basi wengi wenu mtakua hamwangalii soka ukicheki ile gemu ya Tp Mazembe Bato ya Viungo wa kati pale halikua la kitoto ni weka niweke mwenye Mid nzuri ndio alishinda game natamani sana wenye kelele nyingi waombe gemu la kirafiki na Real Bamako au TP mazembe tuwaone.

Tujifunze kusifia kwa sasa yanga wana timu nzuri na benchi la ufundi zuri wale viungo wa Real Bamako sijui kama mliwaona halafu anatokea mtu anakwambia ni timu ya kawaida tupeane muda utasikia nusu ya wachezaji wa Real Bamako wapo Ulaya
 
Sasa mkuu, we huku champions league unamuweza nani, Al hilal kakutoa jasho, huyo vipers alopigwa nje ndani hutaki hata kumsikia,, endeleeni huko huko tu ndo size yenu, na sio siri timu za huko ni dhaifu, Tp mazembe imeshajifia, Real Bamako hana tofauti na polisi Tanzania..
 
Kabla michuano haijaanza tuliwasikia wakisema ngoja za kimataifa zianze tutaona ubora wenu saivi wamegeuka na kudai timu zilizopo shirikisho ni nyepesi..

Hii ni tabia ya watu wengi sana huwa hawakubali uwezo na jitihada za wengine.
 
Kama hawana tofauti na Polisi Tanzania sasa kwanini Polisi Tanzania hawapo kwenye haya mashindano?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga haendi kokote, mechi mbili zilizobaki ni vipigo tu, tena mujarabuu..
 

Muda ni rafiki mzuri
 
Kwa hiyo unataka kusema HUKO KWA MALOOSER KUNA TIMU NZURI KULIKO, RAJA, VIPERS, MAMELODI , AL HILAL ,AL AHLY NA ESPERANCE?

NB: ASILIMIA 90 YA TIMU ZILIZOPO KOMBE LA SHIRIKISHO NI VILAZA WALIOSHINDWA CHAMPIONS LEAGUE.

LUC AYMAEL AJENGEWE SANAMU PALE KAUNDA HAKIKA HAYA NI MANYANI ASILIMIA 100.
 
Kabla michuano haijaanza tuliwasikia wakisema ngoja za kimataifa zianze tutaona ubora wenu saivi wamegeuka na kudai timu zilizopo shirikisho ni nyepesi..

Hii ni tabia ya watu wengi sana huwa hawakubali uwezo na jitihada za wengine.
Kimataifa tunamaanisha CL
 
Kwa hiyo unataka kusema HUKO KWA MALOOSER KUNA TIMU NZURI KULIKO, RAJA, VIPERS, MAMELODI , AL HILAL ,AL AHLY NA ESPERANCE?...
Kwa taarifa yako tu, huyo kidume chenu Raja ambaye mmeshakiri kuwa hamumuwezi kwa mpira wake mkubwa, kule Morocco anayewakimbiza kwa sasa ni Rabat ambaye yupo kwenye kombe la shirikisho.

Usikariri tu kuwa timu zilizo klabu bingwa zote ni nzuri kuliko zilizopo shirikisho. Ukweli ni kwamba hata kwenye klabu bingwa kuna timu mbovu vile vile ambazo zikicheza na timu zilizopo shirikisho hazifurukuti.
 
Kwa hiyo timu za shirikisho ni bora sawa na za klabu bingwa?
Ukitaka kupata jibu la swali lako. Nenda kacheki mechi ya Super cup kati ya Berkane dhidi ya Wydad Casablanca halafu uje useme hapa ni nani alishinda mechi iliyohusisha kati ya bingwa wa klabu bingwa dhidi ya bingwa wa shirikisho.
 
Bado haibadilishi ukweli kuwa shirikisho ni kombe la vilaza walioshindwa CHAMPIONS LEAGUE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…