Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wadada wanaigiza kuingia kwenye mahusiano ili kupata mahitaji yao ya msingi hasa yahusuyo fedha, huku mwanaume akiaminishwa kupendwa kweli, kumbe ni utapeli mtupu.
Na hii inakuja kujulikana pale mwanaume anaposhindwa kutimiza mahitaji ya mwanamke yahusuyo fedha, na kuanza kutokea mifarakano pamoja na kuachana.
Kuanzia sasa tunaanza kukemea hilo pepo la kutumia mahusiano kama chanzo cha mapato.
Na hii inakuja kujulikana pale mwanaume anaposhindwa kutimiza mahitaji ya mwanamke yahusuyo fedha, na kuanza kutokea mifarakano pamoja na kuachana.
Wengine wakitumiwa nauli hawafiki, zaidi ya kuila ile nauli bila kujali huyo aliyetoa hiyo fedha amejinyima vitu vingapi.
Kuanzia sasa tunaanza kukemea hilo pepo la kutumia mahusiano kama chanzo cha mapato.