Wamegundua katuni (animation) zimepoteza uhalisia kutokana na kuwa na muonekano halisi kama binadamu

Wamegundua katuni (animation) zimepoteza uhalisia kutokana na kuwa na muonekano halisi kama binadamu

Nafkiri aina ya animation iwe realistic ama sio haina maana sana, Stori inaplay part kubwa.

Pia hao jamaa sio vinara wa Animation, Gaming industries ni Next level kwenye Animation, wakitoa movie zao pia unaona utofauti wa Quality.

Mfano FFXV animation yao ilikua Ahead of time compare na kina Disney wakati inatoka 2016

Kabisa kabisa mzee,zile anime kwenye game balaa sans
 
Mkuu hata Animation style inaumuhimu sana. Ndio kilichoibeba muvi ya Spider-man into Spider-Verse, Spiderman Across the Spider-Verse. Dreamworks muvi zao hua zina stori nzuri sana, ila zilikua hazifui dafu kimauzo mbele ya Ilumination studio

Mkuu mimi sio mpenzi wa video game kabisa. Ushaangalia muvi ya Adventure of Tintin
Nimeiona tintin mkuu,

Hio sio Game FFXV kingsglaive ni Animated Movie walitoa kidogo kwenye Cinema ili kutengeneza Hype ya Game lao. Ni movie kama movie nyengine unaangalia mwanzo hadi mwisho huchezi games.
 
Aisee nimeangalia kidogo unaweza jua ni watu kabisa. Muvi realistic za hivi hua hazifanyi vizuri kimauzo
1686990604239.png
 
true...

the first thing i noticed kwenye 'puss in boots the last wish' ni ile style aisee

ndio maana 'sinbad' na 'the prince of egypt' ziko goated....

tafta anime inaitwa 'chainsaw man' mkuu utapenda animation style yake na ni kali balaa

Da'Vinci
 
Back
Top Bottom