Wamegundua katuni (animation) zimepoteza uhalisia kutokana na kuwa na muonekano halisi kama binadamu

Kabisa kabisa mzee,zile anime kwenye game balaa sans
 
Nimeiona tintin mkuu,

Hio sio Game FFXV kingsglaive ni Animated Movie walitoa kidogo kwenye Cinema ili kutengeneza Hype ya Game lao. Ni movie kama movie nyengine unaangalia mwanzo hadi mwisho huchezi games.
 
Aisee nimeangalia kidogo unaweza jua ni watu kabisa. Muvi realistic za hivi hua hazifanyi vizuri kimauzo
 
true...

the first thing i noticed kwenye 'puss in boots the last wish' ni ile style aisee

ndio maana 'sinbad' na 'the prince of egypt' ziko goated....

tafta anime inaitwa 'chainsaw man' mkuu utapenda animation style yake na ni kali balaa

Da'Vinci
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…