Chainsaw man niliangalia kama episodes 3 nikaacha. Hapa nairudia S2 ya Attack on Titantrue...
the first thing i noticed kwenye 'puss in boots the last wish' ni ile style aisee
ndio maana 'sinbad' na 'the prince of egypt' ziko goated....
tafta anime inaitwa 'chainsaw man' mkuu utapenda animation style yake na ni kali balaa
Da'Vinci
Kwanini uliacha unafeliChainsaw man niliangalia kama episodes 3 nikaacha. Hapa nairudia S2 ya Attack on Titan
Dogo fala sana😂Ni sawa uangalie GOT halafu ukatazame BB
Dogo tena??Dogo fala sana😂
Enewei, usipende kurudia vitu au kua obsessed.... Skuizi IP ni nyingi mno you have to go fast....
Nakumbuka niliwahi kua obsessed na dragon ball, ilinipotezea muda wa kuangalia vitu vingine....
Saivi naangalia kitu, nakimaliza, sirudii tena. Hii imenisaidia nimeangalia IP nyingi sana kali
24 bado young sanaDogo tena??
I don't.... I just pick up clues here and there....Speaking like you know me in reality 🤔