Trump alikuwa anaondoka hakuna KIKI pale ,kuna risasi nyingine ilimpiga kifuani sema alikuwa na bullet proof imesaidia ,ingekuwa staged FBI wangekuwa washatoa statement.
Kuna watu uchagua kuamini uongo wowote unaosemwa dhidi ya wale anao wachukia hata kama ushahidi si wa kupapasa.
Kuna Dada mmoja (mwarabu) ni muhanga wa ubakwaji elieleza tukio lake Dunia nzima ikamuonea huruma japo hakuna aliyeshuhudia ila Dada huyo huyo ndiye aliyesimama kwenye midia na kupinga habari za Waisrael kubakwa na Hamas akidai kwa kusema " NI UONGO, HAKUNA USHAHIDI KUWA HAMAS WAMEBAKA WATU KWA ILE FESTIVAL".
Ushahidi wote wa majeraha na wa kitabibu hauna nafasi kwa yule Dada.
Unajua ni kwanini?. Chuki dhidi ya Israel imempofusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.