Jamani miti yote imeanza kuteleza sasa... kaza uzi.. watawayawaya sana myaka hii mpaka 2010 kitaeleweka tu!
sasa hivi kila mtu anaropoka lwake..
mara sita ohhh huu ni uzushi mambo ya mtandao, ntakushitaki vielezo feki
-mara ohhh.. sikuikataa hoja, sema ilikuwa ndefu kurasa nyingi kuzisoma
mara ohooo ni watu wachache si chama..
mara huyu tena hoo hii ni hoja yetu!! yaani ni mkoroganyo!
Anacho sahau ni kwamba, swala si nani mleta hoja swala ni nani walikula hela zetu? hata wakisema walileta wao sie twataka warudishe mabilioni yetu yaliyo wapa ushindi wa kishindo!
Hata hivo.. ukweli bado uko pale pale hoja ni ya Slaa.