Wamekatwa!....

Wamekatwa!....

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,816
Hatimaye kile kilichotabiriwa na wapenzi pamoja na wataalamu wa soka kimetimia.
Timu iliyofikiri kujipima nguvu kwa kucheza na kuzifunga Friends Rangers, Polisi kombaini ndiyo kuzifunga timu kubwa na zenye kufahamu soka kama Gormahia na Azam jana nyuso zilisawajika na kulala mapema kama kuku wa mdondo. Nawasilisha.....
 
Hawa jamaa wana mbwembwe sana..

• Mara sijui ngoma ni hatari usimsogelee, hatimae juice ya Azam imekua tiba ya Ngoma

• Mara Busungu anataka kuvunja rekodi ya Bahanuzi aliyoweka CECAFA, Kilichomkuta kila mtu anakijua.

• Tulikua tunaambiwa Mwashiuya, Kaseke ni shiiida.. Kweli ni shiida maana hakuna walichokifanya, zaidi ya kuiletea shida timu.

Wazee wa Magazetini bhana.. TUKUTANE LIGI KUU.
 
Du....Nilifikiri wamekatwa tena.....mtoa mada we mchokozi sana....kichwa cha habari yako mweee!
 
Hivi jana walizimia wangapi wenye takwimu tusaidiane. Au siku hizi wakiona kamera wanazinduka automatically na kutoka nduki?
 
yanga walikuwa na timu nzuri kilichowaangusha ni maandalizi yao ni kiherere chao cha kutaka kila mchezaji anayewika wamsajili wao. kwa yanga iliyomaliza msimu mwaka jana kitaalamu ilitakiwa iongeze wachezaji wapya wasiozidi 3 na wangefanya maandalizi ya kagame nje ya dsm kuepuka kelele na sifa za magazeti ya bongo ingebeba kombe la kagame bila wasiwasi.
 
Back
Top Bottom