Hawa jamaa wana mbwembwe sana..
Mara sijui ngoma ni hatari usimsogelee, hatimae juice ya Azam imekua tiba ya Ngoma
Mara Busungu anataka kuvunja rekodi ya Bahanuzi aliyoweka CECAFA, Kilichomkuta kila mtu anakijua.
Tulikua tunaambiwa Mwashiuya, Kaseke ni shiiida.. Kweli ni shiida maana hakuna walichokifanya, zaidi ya kuiletea shida timu.
Wazee wa Magazetini bhana.. TUKUTANE LIGI KUU.