Wamekopa magari uko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kesho kwa mkapa mzee wangu
 
Hii mikataba mnayoingia kila siku timu yenu hivi hela zinaendaga wapi make Mwamedi alisema timu anaendesha kwa hasara
 

wamekopa magari uko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Hii mikataba mnayoingia kila siku timu yenu hivi hela zinaendaga wapi make Mwamedi alisema timu anaendesha kwa hasara
Mkuu, hili jukwaa lina watu wenye akili na elimu zao, kwa hiyo usidhani hatufuatilii mtiririko wa unayobandika humu.
Ulianza kwa hoja ya kuwa Simba wamekopa magari. Hii ya pili ghafla imebadilika, sio kukopa tena, bali kuhoji hela za mikataba zinazoingia katika klabu ya Simba kwamba zinaenda wapi

Mimi nilidhani kwamba ungeendelea na msimamo wako kuwa Simba wamekopa magari ungeonekana kidogo kwamba kuna hoja unasimamia. Kitendo cha kuanza na hoja mpya ya mapato ya mikataba kinaiua hoja yako ya kukopa magari, maana haiwezekani mtu akukopeshe magari halafu akupe na hela!

Endelea na hoja moja walau uonekane ulipitapita shule kidogo, vinginevyo utaonekana kuwa ni mweupe kichwani
 
Mashabiki wa utopolo hamnazo alisikika msulule
 

Kwa hiyo umecopy kwa Utopolo mwenzio Kitenge kule Instagram ukaileta hapa.Uto mmevurugwa na kesho ndiyo kabisa,pale Jangwani mbakwenda kupasuana baada ya mechi
 
Dah... Mashabiki wa Mnyama Tulishaachana Kulaumu laumu TFF na Bodi Ya Ligi...!
Sasa Mo na Barbra Mjue Kwa Mambo mnayoifanyia S.S.C , Tutaachana Kabisa Pia Kuilaumu SERIKALI...!!
 
Hebu elezea vizuri wamekopaje Mkuu, tofauti na hapo utakuwa na hila,roho mbaya,roho ya kishetani au unaleta unazi kwenye jambo ambalo ni serious,umeifuatilia vizuri press conference?

Ka copy kwa kitenge utopolo mwenzie kama ilivyo akaileta hapa.Sidhani kama anaweza kujibu swali lako hapa
 
Huo mkopo uko wapi sasa
 
Mwamed anawalia timing tu timu ikiyumba na wale mbumbumbu wakaanza kuja juu atawaambia wamlipe na deni la mabasi aliyowakopea waachane kiroho safi
 
Mo hatoi pesa hivi hivi lazima ipitie huko uhindinini kwao ionekane mkopo ale na riba juu na huku hela ni yake ......ili kesho mkizungua pesa yake Iko safe mtabaki kupambambana na africarier Aliyewakopesha......
 
Hawajakopa, kuwa makini mkataba unahusu simba kuitangaza hiyo kampuni kibiashara na hivyo muda si mrefu mtaanza kuona nembo ya hiyo kampuni kwenye jezi ya simba pia mkataba hawajasema kwamba una thamani ya mil 800 wamesema unathamani ya "zaidi ya mil 800"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…