Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya family...mmachame! Mwee! Ckujua wapo watu wako na wrong perception kuhusu wamachame hvyo...ndo mana wanasema tembea uone eti eeh?...unaweza kuwa pahala ukawa unaonewa, unanyanyaswa, unasimangwa bila kujua chanzo...kumbe kisa we mmachamee! Nimepigwa na bumbuwazi na nataka kujua why mmachame tu,wao ndo wanawake wakorofi toka uchagani tu ama? MMACHAME NAWASILISHA HOJA nipewe jibu plz!
<br />Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya family...mmachame! Mwee! Ckujua wapo watu wako na wrong perception kuhusu wamachame hvyo...ndo mana wanasema tembea uone eti eeh?...unaweza kuwa pahala ukawa unaonewa, unanyanyaswa, unasimangwa bila kujua chanzo...kumbe kisa we mmachamee! Nimepigwa na bumbuwazi na nataka kujua why mmachame tu,wao ndo wanawake wakorofi toka uchagani tu ama? MMACHAME NAWASILISHA HOJA nipewe jibu plz!