Wamekosa nini hawa..?

Wamekosa nini hawa..?

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya family...mmachame! Mwee! Ckujua wapo watu wako na wrong perception kuhusu wamachame hvyo...ndo mana wanasema tembea uone eti eeh?...unaweza kuwa pahala ukawa unaonewa, unanyanyaswa, unasimangwa bila kujua chanzo...kumbe kisa we mmachamee! Nimepigwa na bumbuwazi na nataka kujua why mmachame tu,wao ndo wanawake wakorofi toka uchagani tu ama? MMACHAME NAWASILISHA HOJA nipewe jibu plz!
 
umepiga hodi kule au umeingia tu huku bila hodi wala salamu?
 
hizo comments umeziona wapi mimi nipo hata tangia mwaka jana sijaziona embu nipatie hizo links
 
Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya family...mmachame! Mwee! Ckujua wapo watu wako na wrong perception kuhusu wamachame hvyo...ndo mana wanasema tembea uone eti eeh?...unaweza kuwa pahala ukawa unaonewa, unanyanyaswa, unasimangwa bila kujua chanzo...kumbe kisa we mmachamee! Nimepigwa na bumbuwazi na nataka kujua why mmachame tu,wao ndo wanawake wakorofi toka uchagani tu ama? MMACHAME NAWASILISHA HOJA nipewe jibu plz!

hahah..mi niliuliza hili juzi, sijapewa jibu bado..lol!
btw, nantomae...
 
Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya family...mmachame! Mwee! Ckujua wapo watu wako na wrong perception kuhusu wamachame hvyo...ndo mana wanasema tembea uone eti eeh?...unaweza kuwa pahala ukawa unaonewa, unanyanyaswa, unasimangwa bila kujua chanzo...kumbe kisa we mmachamee! Nimepigwa na bumbuwazi na nataka kujua why mmachame tu,wao ndo wanawake wakorofi toka uchagani tu ama? MMACHAME NAWASILISHA HOJA nipewe jibu plz!
<br />
<br />
sio wamachame tu, usiombe ukutane na mwanamke wa kikurya, kwanza ana misuli imara kuliko mume wake.
 
Back
Top Bottom