Pre GE2025 Wamekubaliana; Mbowe Mwenyekiti wa Chama Lissu atapewa nafasi ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya Chadema, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
INA MASHAKA HII...........
 
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya Chadema, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
sasa makubalino yako wapi hapo ikiwa uchaguzi unaendelea gentleman?

ikiwa kuna azimio la aina hiyo, kuna haja gani tena kusema ikiwa atashindwa uchaguzi, kama sio tetesi maalumu ya upotoshaji hii gentleman?🐒
 
Iwapo ndivyo, basi ni hasara daima.
 
Umepata ndoto za mchana,Huwa haziwi kweli,punguza maharage!
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya Chadema, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
zs
 
kwa hotuba zile tulisha sense what gonna hap'n
 
Chadema imeshakubali eneo la Urais wamewaachia CCM. Sasa kete pekee ya Siasa aliyobaki nayo Lissu ni Uenyekiti wa Chama tu.

Sio rahisi Lissu akubali upuuzi huo akijijua akiukubali ni kujizika yeye kisiasa.
 
sasa makubalino yako wapi hapo ikiwa uchaguzi unaendelea gentleman?

ikiwa kuna azimio la aina hiyo, kuna haja gani tena kusema ikiwa atashindwa uchaguzi, kama sio tetesi maalumu ya upotoshaji hii gentleman?🐒
Leo umenena kiutu uzima
 
Poa tu, mradi chama kisigawanyike, nadhani huu mkutano utampitisha moja kwa moja kama walivyofanya CCM
 
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema.

Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
CHADEMA sio CCM chawa mpuuzi
 
Back
Top Bottom