Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Kuwa na kiasi; hii nayo inaweza kuwa project ubwabwa.... imagine baada ya kuappeal kwa watu hivi halafu akahamia Chauma... kuna kete ngumu sana zinachezwa.... hadi july/August hivi mambo yatakuwa mengi sana.Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua.
Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
Kuwa na kiasi; hii nayo inaweza kuwa project ubwabwa.... imagine baada ya kuappeal kwa watu hivi halafu akahamia Chauma... kuna kete ngumu sana zinachezwa.... hadi july/August hivi mambo yatakuwa mengi sana.
Kiongozi, na hili ndio kosa linadanyika, ili CDM ife itabidi CCM itoe sadaka baadhi ya watu wake; ilifanyika hivyo enzi zile za Shibuda kwenda CDM na kuiteka Maswa mashariki na Magharibi... mbona tunawahi sana kusahau?????Hakuna kitu kama hicho. Gwajima ana akili
Una akili sana; kete ngumu sana zinasukumwa; CDM waachane na hii movie; ukiangalia jana Gwajima hajaongea vitu concrete, solution aliyotoa ni long term na inahusisha mabadiliko makubwa ya katiba, tena kwenye kuwaondoa tu lakini sio kwenye kiwateua wakiu wa vyombo. Amejaribu kuvisafisha vyombo vya ulinzi na usalama... hivi kweli unaweza kuvitoa vyombo kwenye haya yanayoendelea??? Kuwatawala watanzania ni kazi rahisi sana....Awahi chauma akapewe ubunge maana kodi zetu zimemwagwa chauma hatari ili kuiua chadema baada ya kuiua cuf na act
Zaidi ya kububujikwa na machozi ya furaha Luka ana jipya kweli? Wacha tuone yetu macho.kuna lucas mwashamba anasema jumatatu kutoa taamko.sijui anatengeneza script za kombolela kuweka ushubwada wake
Hahahah eti wameliamsha DudeAmeahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua.
Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
Tangu ionekane kuna mtu anataka kumuua basi akafyata mkiaMbona mpina siku hizi hasikiki au wameshamuahidi kuja kumpa uwaziri?
Labda naye ni muhusika mkuu amegongwa kichwani katwambia stay tuned kama vile sisi ni wapumbavu, Tanzania upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini hatekelezi majukumu yake kwa weledikuna lucas mwashamba anasema jumatatu kutoa taamko.sijui anatengeneza script za kombolela kuweka ushubwada wake
Kaviondoaje?Una akili sana; kete ngumu sana zinasukumwa; CDM waachane na hii movie; ukiangalia jana Gwajima hajaongea vitu concrete, solution aliyotoa ni long term na inahusisha mabadiliko makubwa ya katiba, tena kwenye kuwaondoa tu lakini sio kwenye kiwateua wakiu wa vyombo. Amejaribu kuvisafisha vyombo vya ulinzi na usalama... hivi kweli unaweza kuvitoa vyombo kwenye haya yanayoendelea??? Kuwatawala watanzania ni kazi rahisi sana....
Kama umemsikiliza vizuri Askofu, hajavisafisha vyombo vya ulinzi na usalama ila ameeleza kwa nini wanashindwa kudili na watekaji. ameonesha kuwa vyombo vya ulinzi havihusiki na utekaji ila kuna kikundi chenye baraka za mtumbuaji. hivyo watu wanaogopa kutia vitumbua vyao mchangaUna akili sana; kete ngumu sana zinasukumwa; CDM waachane na hii movie; ukiangalia jana Gwajima hajaongea vitu concrete, solution aliyotoa ni long term na inahusisha mabadiliko makubwa ya katiba, tena kwenye kuwaondoa tu lakini sio kwenye kiwateua wakiu wa vyombo. Amejaribu kuvisafisha vyombo vya ulinzi na usalama... hivi kweli unaweza kuvitoa vyombo kwenye haya yanayoendelea??? Kuwatawala watanzania ni kazi rahisi sana....