October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mwaicheza baikoko hiyo. Mweee! Walahi mwaingia maskani ya vita. Mwafikiri kubeba silaha ni kushinda hehee. Hamjui mtajuzwa. Kikundi ya Gwajima hakizidi watu elfu arobaini kimewatoa nishai. Mwathubutuje kuingia kwa Wakatoliki. Mwacheza Nye. Humohumo wamo. Hehee. Kati yenyu wamo. Mayii. Miye sijui walahi. Kitima ashawaambia Katoliki ishashindana na dola kubwa za aina zote Nye mwaitisha. Who are you? Walahi hamujui mwaingia wapi. Katoliki mpaka wa Leo hajalaani maandamano wala vurugu. Hehee! Nye na Bado