Wameniingiza kwenye Group la Whatsapp bila mimi kuridhia, nilichowafanyia hawatonsahau

Wameniingiza kwenye Group la Whatsapp bila mimi kuridhia, nilichowafanyia hawatonsahau

hamna ulichokifanya hapo wenzako wanaunda grupu lingine muda huohuo na kujazana tena......mwisho wa siku niwewe peke yako ndio umejitoa
 
Uongoopoooooh,,,, magroup ya WhatsApp hayabebi watu zaidi ya 257.
Hilo la kwako lililokua na members 290 ni la Facebook [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hio imekaa vizuri. .[emoji23] [emoji23]
 
😛 😛 😛 😛 😛 😛 wewe usinifanye nicheke wakati nimekasirika kuna mtu hataki kunilipa mpunga wangu hapa
 
Back
Top Bottom