Klynn anastahili kutunukiwa shahada ya uzamivu kwenye 'Strategic Management' mana daaaah...kaji-position hapo hatoki mtu...
Madada wa mujini kachukeni somo kwake jamani...
Ni watoto wake?
watoto wao............
Mi mwenyewe natafuta kizee...nasikia vinajua kutunza kweli kweli
Na wewe tenah!
Asante....hawawezi kua wake pekeake