Wamependezaje Klyn baby

Wamependezaje Klyn baby

Hahhha Heaven on earth umenivunja maini wallah
Sasa itabid uwahi kwa Rostam ila yeye bado hajawa babu kivileee
 
Last edited by a moderator:
Wow wamependeza wenyewe.....kila la kheri jamani
 
hahaha My dia sa hivi kamata fursa twen'zetu

ukikiona kibabu chatafuta mpenzi huko nishtue

Hayaa huku kwetu Mwanza kuna li gachumo sijui utaliweza linahongaje hilo ila sasa wahongaji wakubwa eti ni wana mdudu tu,halaf ambao hawahongi eti hawana yaan watu banaaa
 
Mi mwenyewe natafuta kizee...nasikia vinajua kutunza kweli kweli

vitaachaje kukutunza na wanajua matatizo yao ya kiafya...........

hlf kijacho utakifanyaje?............... kuna mzee anakisu balaa sema kinateseka na mapeni huku kitaa.
 
vitaachaje kukutunza na wanajua matatizo yao ya kiafya...........

hlf kijacho utakifanyaje?............... kuna mzee anakisu balaa sema kinateseka na mapeni huku kitaa.

kwani nanihii nae ana hayo matatizo......................

Kijacho si ndio atapata mlezi wa ukweee..........huyo Mzee yuko hii hii Dar au nanihii

nianze kumsaka kuanzia sasa
 
Uwiiii kwani lazima uipate kila siku imekua maji ya kunywa kha!!
Tutamuelewesha tu kua ajitahidi kufikia levo za bwana machache,,lazima apoe tulii

wengine bila hiyo usingizi hauji kabisaaaa...........
na ye ndio anajua wapi kwa kunikuna kihasaaaaa lol
 
Age aint a number...Aaliyah

attachment.php


Duh....ila uyu mzee lazima asaidiwe apende asipende, maana vijana wa siku hizi wanavyopenda kubinuliwa sarakasi, kurambwa mwili mzima na kubebwa wakt wa mambo!!
 
Back
Top Bottom