sirluta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 6,325 Reaction score 2,491 Aug 10, 2014 #1 Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji?
Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji?
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,961 Reaction score 3,752 Aug 10, 2014 #2 Jaribisha Wewe
black hunter Member Joined Jul 2, 2014 Posts 33 Reaction score 3 Aug 10, 2014 #3 Najua unajua cz kuna daktari aliongelea day moja ayo mambo kama unajua tunapumua mara 23000 unajua ata kipimo icho
Najua unajua cz kuna daktari aliongelea day moja ayo mambo kama unajua tunapumua mara 23000 unajua ata kipimo icho
sirluta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 6,325 Reaction score 2,491 Aug 10, 2014 Thread starter #4 black hunter said: Najua unajua cz kuna daktari aliongelea day moja ayo mambo kama unajua tunapumua mara 23000 unajua ata kipimo icho Click to expand... huh? Mie cjui ndo maana nimeuliza. Nimeona hiyo headline Startv.
black hunter said: Najua unajua cz kuna daktari aliongelea day moja ayo mambo kama unajua tunapumua mara 23000 unajua ata kipimo icho Click to expand... huh? Mie cjui ndo maana nimeuliza. Nimeona hiyo headline Startv.
Wile GAMBA JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 1,809 Reaction score 595 Aug 11, 2014 #5 Inategeme, kwasababu binadamu anapo kuwa amelala, kutembea, kukimbia na mambo mbali mbali idadi ya kupumua ubadirika...labda kama hiyo idadi ni wakati akiwa amekaa tu bila kuwa na shughuri yoyote
Inategeme, kwasababu binadamu anapo kuwa amelala, kutembea, kukimbia na mambo mbali mbali idadi ya kupumua ubadirika...labda kama hiyo idadi ni wakati akiwa amekaa tu bila kuwa na shughuri yoyote
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,528 Aug 11, 2014 #6 sirluta said: Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji? Click to expand... [h=3]Spirometry [/h]
sirluta said: Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji? Click to expand... [h=3]Spirometry [/h]
sirluta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 6,325 Reaction score 2,491 Aug 11, 2014 Thread starter #7 Tyta said: [h=3]Spirometry [/h] Click to expand... very good, thnx
G gashambala uwezo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 485 Reaction score 67 Aug 11, 2014 #8 ni hesabu rahisi kbs, walibaini kwanza kwa dk moja ana pumua mara ngapi?, kisha wazidisha kwa saa 24 ambazo ni za siku moja. wakapata jibu
ni hesabu rahisi kbs, walibaini kwanza kwa dk moja ana pumua mara ngapi?, kisha wazidisha kwa saa 24 ambazo ni za siku moja. wakapata jibu