Wamepimaje kujua Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku

Wamepimaje kujua Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji?
 
Najua unajua cz kuna daktari aliongelea day moja ayo mambo kama unajua tunapumua mara 23000 unajua ata kipimo icho
 
Najua unajua cz kuna daktari aliongelea day moja ayo mambo kama unajua tunapumua mara 23000 unajua ata kipimo icho

huh? Mie cjui ndo maana nimeuliza. Nimeona hiyo headline Startv.
 
Inategeme, kwasababu binadamu anapo kuwa amelala, kutembea, kukimbia na mambo mbali mbali idadi ya kupumua ubadirika...labda kama hiyo idadi ni wakati akiwa amekaa tu bila kuwa na shughuri yoyote
 
Binadamu anapumua mara 23,000 kwa siku. Naombeni uthibitisho wake, ni kifaa gani kina-count huo upumuaji?
spirometry.jpg

[h=3]Spirometry [/h]
 
ni hesabu rahisi kbs, walibaini kwanza kwa dk moja ana pumua mara ngapi?, kisha wazidisha kwa saa 24 ambazo ni
za siku moja. wakapata jibu
 
Back
Top Bottom