Wamepokea vipi nyimbo za Diamond platnumz wakati kisiwa cha Mayotte wanazungumza kifaransa?

Mleta mada mbona nyimbo za kizaire unacheza kwani unaelewa? Koffi Olomide alikuwa anajaza White Sands enzi zile, wote wali walikuwa wanaongea Kizairwaa?
Mleta mada kauliza ilo swali ili kuprove kuwa mziki wa domo unazidi kutusua kimataifa kama anapata adi show nchi ambazo hutegemei mziki wa bongo flava kusikia kwny izo nchi
 
Mwanaume mzima unaweka hash tag ya "mashauzi yamempata mshauaji" kweli hawa ndo wanaopumuliwa[emoji15] [emoji15]
I noticed the same.Nimeshtuka sana kweli Kijana wa kiume anaweka hashtag hiyo.God forbid,sijui tunaelekea wapi.Inabidi vijana wajiulize kwanini mwanaume na mwanamke wanaungana na kupata mtoto na sio mwanaume kwa mwanaume.Nowadays our young boys are in danger than previous generation God forbid.
 
Kwani zile nyimbo za nachi zilizokuwa zinavuma tulizielewaje kwani... Vipi kuhusu cabo snoop... Vipi kuhusu wenge musica... Wenge BCBG ....
Abababaaaabaaaaaa abaaaabaaaaaaa abbaaaaaaabaaaaabaaaaaaaaaaaaaaaaaa prakataaaa tumbaaaa tumbaaaaa ababaabaaaaaaa
 
wakina Koffi Olomide walivyokuwa wanakula hela zetu miaka ile wakija bongo walikuwa wanaimba kwa kindengereko!?!

Acha mahaba ya namna hiyo mkuu...kwenye mziki kuna lugha moja tu kama ilivyo football
We jamaa una akili sana
 
Muziki una vitu vingi ndugu kuanzia midundo mahadhi na ujumbe pia katika vitu hivyo ndipo mtu anapiguswa na kimoja Charles hillary alituchezesha charanga mpaka tukamuelewa.
Pia hao jamaa wana muingiliano mkubwa na watu wa visiwa vya comoro hili ni kama nyongeza tu.
 
Uko sahihi pia kuna zile"capuccino "za nguvu na maanisha toto zilizochanganya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…