Mleta mada kauliza ilo swali ili kuprove kuwa mziki wa domo unazidi kutusua kimataifa kama anapata adi show nchi ambazo hutegemei mziki wa bongo flava kusikia kwny izo nchiMleta mada mbona nyimbo za kizaire unacheza kwani unaelewa? Koffi Olomide alikuwa anajaza White Sands enzi zile, wote wali walikuwa wanaongea Kizairwaa?