Wameru na wamachame wamefanana 100%

Wameru na wamachame wamefanana 100%

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Katika watu wanaoendana kiutamaduni ni wameru na wamachame

Kwa mfano lugha zao zina maingiliano makubwa mno

Koo zao zinafanana sana mfano urasa,ndosi, nyari nk

Kuchapa kazi n,k

Kati ya wameru 10 ukiwahoji 8 watakuambia wametokea machame

Ni kati ya watu ambao walipaswa washirikiane mno katika masuala ya kimila ,kitamaduni na hata kiuchumi ikiwemo hata kuanzisha "muungano" wa hizi jamii mbili

KWA HISANI YA GOOGLE
 
Weka na picha zao ili na sisi tuwafananishe na tuone kama kweli wanafanana tofauti na hapo huu uzi ni kama ile methali isemayo ukubwa wa pua..............,
 
Teh teh
 
Katika watu wanaoendana kiutamaduni ni wameru na wamachame

Kwa mfano lugha zao zina maingiliano makubwa mno

Koo zao zinafanana sana mfano urasa,ndosi, nyari nk

Kuchapa kazi n,k

Kati ya wameru 10 ukiwahoji 8 watakuambia wametokea machame

Ni kati ya watu ambao walipaswa washirikiane mno katika masuala ya kimila ,kitamaduni na hata kiuchumi ikiwemo hata kuanzisha "muungano" wa hizi jamii mbili

KWA HISANI YA GOOGLE

Lkn Muzungu alivyounda ,,Kabila la Wachaga" Wameru hakuwaweka kwenye kundi, sasa sijui ni kwa nini?
 
Ni hao hao

Aidha Muzungu alipaswa kuwaondoa Wamachame ktk kwenye kundi la Wachaga na kuwaunganisha na Wameru, Waarusha kuunda kabila lao au kuwaingiza Wameru kwenye kundi la Wachaga na kuwaondoa Warombo, Marangu, kibosho &Co.
 
Hapo cjakuelewa
 
Uko sahihi kabisa nimeishi nao uko Meru icho kitu nimekuona sahihi wanashabiana
 
Back
Top Bottom