Nduguzanguni Serikali waliibuka nakusema hakutakuwa na mgawo wa umeme ambao walikuwa wameutanganza kwasema ni kwa sababu washapata mbinu mbadala utaosaidia kuwezesha upatikanaji umeme kuwa wakutosha.
Nimeshangaa jana wmetukatia kuanzia saa 10 Jioni wamerudisha saa 4 na nusu Usiku hii imekaaje? Na nimegundua ni si huku kwetu hadi maeneo mengine ya nchi.