Ni maigizo tupu^Mheshimiwa Mwenyekiti, hata ule mgawo mkubwa tuliodhani tutakuwa nao, na wenyewe hautakuwepo kabisa. Mpaka sasa tunajitosheleza kwa umeme. Na tunatumia gesi ili kufidia kiwango cha MW kadhaa zinazohitajika. Kwa hiyo, niwatoe wasiwasi kabisa wananchi kwamba ndani ya juma moja au mawili hivi, tatizo litakuwa limeondoka kabisa.^
Question? Mgawo utaendelea au haupo?
Jibu: Mgawo haupo; ila utakuwepo mdogo, wa kawaida! π
duh, mna bahati sana maana ni outage ya masaa machache hiikuanzia saa 10 Jioni wamerudisha saa 4 na nusu
hahahahahaha,πππ
View attachment 2106037
Kipara Acha matusiF.uck tanesco