HakikaMenye mamlaka ya kupandisha na kushusha nauli kwa ninavyofahamu anaitwa LATRA hao wengine mtawaonea tu.
Kuna Sehemu nasikia wameongeza 1000 kutoka 1000 yaani jumla 2K huko mikoani watu wanajiongeza Sana huku dsm imeongezeka sh. 100 kila safari.Sipo Dsm mkuu...Labda huko Hali inaweza kuwa tofauti.