TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa wakurugenzi, maDED nk, storyline imebuma watu wanalia na bandari zao huku.
Ukaja mkwara wa hasira waziwazi eti "nyie wapotoshaji" watu wamekomaa doesn't matter hata tukiwa wapotoshaji tuelezwe ukweli tu wa bandari.
Hakika Watanganyika wanachoka sasa na ifahamike hivyo.