Subiri habari ya feitoto kesho. Watanzania wanasahau haraka. Au diamond afanye jamboKwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa wakurugenzi, maDED nk, storyline imebuma watu wanalia na bandari zao huku.
Ukaja mkwara wa hasira waziwazi eti "nyie wapotoshaji" watu wamekomaa doesn't matter hata tukiwa wapotoshaji tuelezwe ukweli tu wa bandari.
Hakika watanganyika wanachoka sasa na ifahamike hivyo.
Mwenyezi Mungu atapiga moja baada ya jingine na mtu hutafunwa na laana ya dhambi yake mpaka majivu.sina shaka na hiloKwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa wakurugenzi, maDED nk, storyline imebuma watu wanalia na bandari zao huku.
Ukaja mkwara wa hasira waziwazi eti "nyie wapotoshaji" watu wamekomaa doesn't matter hata tukiwa wapotoshaji tuelezwe ukweli tu wa bandari.
Hakika watanganyika wanachoka sasa na ifahamike hivyo.
watanganyika ❌️watanganyika
feitoto ❌️feitoto
watanzania ❌️watanzania
Msingwa ni mtu very corrupt haswaKwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa wakurugenzi, maDED nk, storyline imebuma watu wanalia na bandari zao huku.
Ukaja mkwara wa hasira waziwazi eti "nyie wapotoshaji" watu wamekomaa doesn't matter hata tukiwa wapotoshaji tuelezwe ukweli tu wa bandari.
Hakika watanganyika wanachoka sasa na ifahamike hivyo.
kwa hili la bandari, hata wakijaribu kutupoteza mtazamo kwa kumwambia ambaruti apige porno lingine, watu hawatamfatilia, hii issue ya bandari tena inayofanywa na RAis mzanzibar na waziri mzanzibari watu imewauma sana, na itamkost sana mama yenu 2025. aimejiongezea kazi nzito.Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa wakurugenzi, maDED nk, storyline imebuma watu wanalia na bandari zao huku.
Ukaja mkwara wa hasira waziwazi eti "nyie wapotoshaji" watu wamekomaa doesn't matter hata tukiwa wapotoshaji tuelezwe ukweli tu wa bandari.
Hakika watanganyika wanachoka sasa na ifahamike hivyo.
Tatizo ni moja mkuu, toka uhuru hatujaona mwenye uthubutu wa wazi labda mmoja, kidogo yeye alijaribu kwa nafasi yake na kwa wakati wake.kwa hili la bandari, hata wakijaribu kutupoteza mtazamo kwa kumwambia ambaruti apige porno lingine, watu hawatamfatilia, hii issue ya bandari tena inayofanywa na RAis mzanzibar na waziri mzanzibari watu imewauma sana, na itamkost sana mama yenu 2025. aimejiongezea kazi nzito.