Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

SIkujibiwa acha kupoteza mada mkuu hii inaonesha jinsi gani uliandika pumba ku support point zako unataja system zinazohusika na bodily immunity kama sehemu zinazozalisha juices za kukuza shaft ๐Ÿคฃ .

siku nyengine kama kitu haujui kaaa kimya ni moja ya hekma pia si kuandika pumba ili kushawishi watu sawa?
Kwamba lymphatic juice hubeba leucocytes pekee basi?

Ila mdogo wangu wewe ni mjuaji aisee unaonesha ulitahiriwa ukiwa katoto halafu Sasa hivi ni kibamia ndo maana una makasiriko
๐Ÿ˜€
 
Kwanini unakuwa na wasi wasi na ukubwa au udogo wa maumbile ya mtoto wa dada yako......

Yakiwa makubwa au madogo wewe yanakuathiri vipi...??
Ukiwa mwanaume sidhani kama hili ni swali la kuliletea tafakuri labda tu uwe upinde ndo ukiwa wa maumbile kwako na jamaa zako huwezi tilia maanani

Hakuna mwanaume anayependa kuwa na maumbile madogo au jamaa yake awe na maumbile madogo ndo maana Kuna jamii hadi huchanjia ili kuwa na wastani mzuri wa kimo cha maumbile

Kama kwako na kwenu kuwa na kibamia sio agenda then it's fine let you be
 
Maumbile ya mpwa wako yanakuathiri vipi wewe mpaka unalalamika...???
 
Kwamba lymphatic juice hubeba leucocytes pekee basi?

Ila mdogo wangu wewe ni mjuaji aisee unaonesha ulitahiriwa ukiwa katoto halafu Sasa hivi ni kibamia ndo maana una makasiriko
๐Ÿ˜€
Kwanza nikiri ndo nasikia kwako kwamba kuna kitu kinaitwa "lymphatic juices" ๐Ÿ˜‚ anyways thibitisha kitabibu kwamba zinachangiaje ukuaji wa uume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nasubiri majibu.

Kingine ngozi ya govi inamchango upi kwenye ukuaji wa uume , majibu yote yawe kitabibu zaidi.

N.B
Umeanza personal attack ili nipaniki mada ibadilike mkuu mkuu naomba majibu ya maswali yangu size ya uboo wangu si ya muhimu sana kwa sasa anyways i want my answers.
 
Ungekuwa mwanaume ungeelewa
Kwanini wewe mtoto wa kiume unahangaishwa na ukubwa au udogo wa maumbile ya mwanaume mwenzio.....kwani yakiwa madogo au makubwa wewe yanakuathiri vipi mpaka unakuwa concerned kiasi hicho mpaka kuja kuleta uzi....
 
Back
Top Bottom