Wameuziwa kesi kama wale mwewe

We jamaa unakaribia kuchizika wallah
 
Ila picha za AI zinafurahisha sana
 
rafiki ulipotelea wapi?
 
Aisee we jamaa kiboko🤣
 
Umeelezea vema ila umehitimisha vibaya kwa kuwananga Watanzania🥺
 
fungua code kaka, we dare to talk openly.
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.

NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.

Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya "AUDITING" kwa kushirikiana na Bundi,taifa lingekuwa limetapeliwa na TRC chini ya Mkurugenzi wake Bwana KADOGOSA ambaye alisema Treni hizo zinatumia Umeme na Mafuta.

Lakini katika ukaguzi ukifanywa na NGEDERE na BUNDI kutoka ofisi ya CAG ofisi ndogo za Kidete

Bundi jana majira ya saa 2 kwenda saa 3 usiku, alifanikiwa kukaa Juu ya mti mrefu sana na Kuliona Treni la SGR likiwa linatoka Station ya Kilosa kuja Kidete.

BUNDI aliwasiliana na NGEDERE kwa haraka sana,kwa ajili ya ukaguzi wa kutizama "Value for Money" katika ununuzi wa Treni hizo ambazo Taifa liliambiwa zinatumia Umeme na Mafuta.

NGEDERE alifanikiwa kufyatua Nyaya za umeme pasipo kuharibu miundo mbinu ya TANESCO, na hatimaye umeme ukajizima na kurudi kituo cha kupooza umeme cha Godegode.

NGEDERE na BUNDI wanasema walishangazwa na Kuona Treni hiyo ya SGR kuganda kwa masaa 4 na nusu bila kuwasha mfumo wa Mafuta na kuendelea na Safari kuelekea Dodoma.
Wala siyo 2 na nusu kama wanavyosena TRC walivyosema jana

Wakitoa Ripoti ya Ukaguzi wa Treni za SGR NGEDERE amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuwa wadadisi kama wao na siyo Kukubali kila taarifa zinazotolewa na Serikali.

BUNDI naye aliongeza kwa kusema kuwa Kama tulilipa pesa ya Kununua Treni za Umeme na Mafuta na zikaja hizi ambazo Umeme ukikatika zinaganda kwakuwa hazina mfumo wa Mafuta basi TRC na Mzabuni aliyetuuzia Treni hizi za RGR alirudishe chenji kwa Taifa kabla hatua za Kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.

Mwisho NGEDERE na BUNDI wamewataka Watumishi na Watendaji wa Serikali kuwa makini na kazi zao,kwakuwa ukaguzi huu wa Kushtukiza utaendelea katika miradi mbalimbali ya serikali mikubwa kwa ajili ya kulinda kodi za Watanzania ambao wamezubaa na hawajitambui.View attachment 3057560
Wanasingiziwa sana

We jamaa unakaribia kuchizika wallah
😂😂😂😂
 
Hii habari/makala ulipaswa umpe credit Boniface Jacob aliyeandika
 
CC: Mayor mstaafu
 
Hongera yao Ngedele na Bundi.
Hatutaki maelezo tunataka treni walizosema.

Hata kipindi cha ununuzu wa mabasi ya mwendo kasi waliwaonya. Waliwaambia kuwa hayo mabasi kampuni ya dragon ni mabovu.
Wakasema si mabovu .
Wakadai China wanafanya ku assemble , bali injini yake inatoka ujerumani.

Sasa zamu ya treni ya mwendo kasi.
 
View attachment 3057684
 
Attachments

  • IMG-20240731-WA0068.jpg
    37.8 KB · Views: 4

View attachment 3057684View attachment 3057685
 
Hello Tanzagiza!🥳
HiView attachment 3057713
View attachment 3057713
 
Attachments

  • IMG-20240731-WA0100.jpg
    63.3 KB · Views: 2
  • IMG-20240731-WA0094.jpg
    115 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…