Mwamba alivyokaa pichani kama anangoja safari laga mezani 😂
Utadhani anasubiri kumgegeda mtuMwamba alivyokaa pichani kama anangoja safari laga mezani 😂
Hiyo picha ya chini ina maswali mengi kuliko majibu.
Mbona amekaa kama anafanya discussion na mtoto wa shule