Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hizo doria zinafanyika kipindi cha shida tu! Yani DAWASA utendaji wenu unatia mashaka kabisa
==================
Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeendelea na doria ya kukagua vyanzo vyake vya maji katika mito yote inayotiririsha maji yake Mto Ruvu ikiwa ni kuendeleza mipango ya kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama inaimarika katika Dar es salaaam
Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy amesema kuwa mpaka sasa hali ya mito iko salama na hakuna uchepushaji wowote wa maji katika Mto Ruvu.