Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo wafikishwa Mahakamani Kisutu

Hamna kitu hapo hayo ni maigizo matupu!!!

Riport ya kuunguansoko la Kariakoo ipo wapi???
 
Siamini kama hawa ndio wamiliki wa Jengo. Labda hawa ndio mafundi (contractors)
 
Kuna wapuuzi wamesema mkinga mmoja ndo ana miliki kawatoa wenzie kafara. Nyie nyie lukolo
 
Kwahiyo kesi yao hapo ni ipi, naomba elimu kidogo. Ninachojua mimi ni ajali kama ya Hanang tu
 
Kobaaz kwa kutoa kafara tu.

Adiosamigo ielewemitaa Malaria 2 Kosugi Jagina

Nyau de adriz
We mfuasi wa mkosa nyumba hivi bado mnajitoa Kafara ya Kubatizwa kanisani. Hebu tazama bibilia yenu inasema nini
UFUNUO 2-12-13 Napajua Ukaapo Kanisani ni katika kiti cha enzi cha Shetani.

Shetani Kiti chake cha enzi ni Kanisani
maana yake ni; Wakristo wamemkalia Shetani kanisani.
Je ipo Aya katika biblia kuwa Shetani huyo aliye Kalia Kiti kanisani alitoka au bado yupo hadi sasa.

Kama yupo itakuwa ninyi Wakristo mnamuabudu ni Shetani 100% Au ndio kila siku mnapiga maombi kwa Kusema. Pepo Toka Pepo Toka hahahaha

Sasa mnamfukuzaje Baba Mwenye Nyumba, nyie vichaa kweli aisay.
 
Yuko wapi:
1. Engineer Aliyeidhinisha ujenzi?
2. Msanifu majengo?
3. CRB waliotoa kibali?
4. Mhandisi mshauri?
5. Engineer msimamizi wa mradi?
6. Waliotoa kibali cha ujenzi?

Hawa wote lazima waunganishwe kwenye hii kesi
 
Kwa hiyo huyo wa kamba ya mbuzi shingoni,pia katoa kafara.
 
Kobaaz kwa kutoa kafara tu.

Adiosamigo ielewemitaa Malaria 2 Kosugi Jagina

Nyau de adriz
Kwa hiyo huyo.mvaa kamba ya mbuzi shingoni,pia katoa kafara.
 
Waliotoa vibali ya kujenga sehemu inayotitia wakamatwe
Watu wa mpango mji wakamatwe
Wahandishi wakamatwe
Watu wa uokoaji wakamatwe

Ndo nitaona haki
Wenye jengo na watoa Kibali cha ujenzi walitakiwa wakae 10 yrs bila dhamana kwanza ili kidooooogo kupata akili ............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…