komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
wana jf,
kuna chuo kinaendeshwa na wahindi cha St Joseph kwa kweli kinajiendesha kwa mbinu chafu.
Wamekua wakitegemea njia za Panya kupata fedha ikiwemo kutoa sup kiholela ili wanafunzi wakifanya waweze kunufaikwa kwa pesa za sup(sup zinalipiwa), michango bubu kama vile kulipia tution kwa waliofeli supplimentary exams na kuzuia kimakusudi pesa za bumu wanazopewa na bodi ktk fixed account ili wapate cha juu na kusababisha wanafunzi wengi kuishi maisha ya shida bila hela. Mbaya zaidi wana watu wao bodi na TCU yani hata malalamiko yakienda hakuna kitu halafu wanajiita masista wa katoliki!
Kwa dhuluma hizo hizo wamezuia malipo ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka wa mwisho mpaka watakapokubali kukatwa madeni ya ada wanayodaiwa.
swali la kujiuliza, wanapata wapi hiyo jeuri? Wanapoamua kutumia ubabe kuchukua pesa za mafunzo kwa vitendo za wanafunzi wenye madeni ya ada, je haki iko wapi?