KERO Wamiliki wa Baa na Lounge mjirekebishe kwenye huduma ya vyoo, mnajisahau sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kabisa, siku nilipita Hugo pale aisee chooni ni kuchafu balaa.
Yaani kutoka huko hata hamu ya kula ikaisha.
Na ni kila mahali hivyohivyo.
Labda Masaki huko.
 
Wanaboa sana kwakuwa wanatuona wanywaji hawatujali.Halafu kitu inaniudhi box la salama linakuwepo ila salama hukuna dah[emoji134]
[emoji23][emoji23]ukitaka salama za uhakika nenda kwenye mabox ya hospitali tu hazijawahi kuisha huko
 
Bia moja 20000 serena.
tunaongea baa zetu hizi bucket 9000 bia 6..
Unamwagilia moyo
Serena cocacola inaweza kuwa 12000
 
Bia moja 20000 serena.
tunaongea baa zetu hizi bucket 9000 bia 6..
Unamwagilia moyo
Serena cocacola inaweza kuwa 12000
Juzi kati nilikuwa na meeting Ramada Mbezi beach maji madogo ya Kilimanjaro ni sh 7000/= mitaani jero tu.

Hiz hotel kubwa mimi nazipendeaga kwa ajiri brach buffet tu kwenye restaurant zao.

Yani hapo lazima unawala wewe sasa kwa msosi utakaogonga nonstop mpaka restaurant timetable wanabadili session.
 
Tatizo la watanzania ni wachafu vyooni,hawafuati miiko wa vyoo,wanajikuta wamevaa suti then hawajui kutumia choo kistaarabu
 
Hoteli kubwa ni sehemu ya kutakatisha fedha tuu,hakuna la maana na ndo huko utakunywa chai baridi sababu inatembezwa vyombo Tofauti na hatua Tofauti mpaka inapoa
Kutakatisha fedha kivpi mzeebaba..???
 
Umenikumbusha kuna siku nimeingia vyoo
Umenikumbusha kuna siku nimeingia vyoo vya mlimani city nilishangaa Sana kuona vyoo vya public halafu vikawa visafi kiasi kile yaan vinazidi vyoo vingi vya nyumba za watu binafsi.

Nilichopenda zaidi kuna mdogo wapo standby MTU akitoka Tu hapo hapo wanaingia kufanya usafi.
 
Ni kweli, kuna siku nilienda Samaki samaki pale mlimani, vyoo vyao visafi kabisa.
 
Hicho kitu umenkumbusha Quality Centre enzi hzo nao walkua vzur sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…