Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba misosi kdogo inakua na bei affordable huko syoJuzi kati nilikuwa na meeting Ramada Mbezi beach maji madogo ya Kilimanjaro ni sh 7000/= mitaani jero tu.
Hiz hotel kubwa mimi nazipendeaga kwa ajiri brach buffet tu kwenye restaurant zao.
Yani hapo lazima unawala wewe sasa kwa msosi utakaogonga nonstop mpaka restaurant timetable wanabadili session.
Samaki samaki wana standard. Hata ya Masaki vyoo visafi kuna hadi TV chooni. Kwenye urinals wanaweka ice cubes ambazo baa za uswahili ukiomba wakuwekee kwemye juice watakwambia hawana.Ni kweli, kuna siku nilienda Samaki samaki pale mlimani, vyoo vyao visafi kabisa.
Kwakwelii hakuezi kukawa na mlingano kbsa kiongozi lakn kuna hadi Bar kubwa na lounges kubwa ambzo znapokea hadi raia wa kigen lakn uchafu vyooni ni kerooooWatu wanazungumzia vyoo vya bar mtaani wengine wanazungumzia Serena na Hyatt! Unategemea vyoo vya 5* Hotel vitakuwa vichafu?
Hizi hotel kubwa ukitaka kuenjoy chakula lipia buffet kama bei iko kwenye uwezo wako, utakula misamaki, kuku, beef steak na kila kila kitu kwa kurudia mpaka ushibe ndindindi na kunakuwa na offer ya glasi ya juice.Kwamba misosi kdogo inakua na bei affordable huko syo
Bei za buffet zina range kiasi gan huko..Hizi hotel kubwa ukitaka kuenjoy chakula lipia buffet kama bei iko kwenye uwezo wako, utakula misamaki, kuku, beef steak na kila kila kitu kwa kurudia mpaka ushibe ndindindi na kunakuwa na offer ya glasi ya juice.
Nilikuwa Tabora wiki zilizopita kuna kiota kimoja kipya tena kinaitwa kiota by name.Kinahappen sana ila lilipokuja suala la choo, sio tu ni-vichafu,havisafishwi, vinatoa harufu kali bali havijatenganishwa vya wanawake na wanaume. Kibaya wateja wa baa wanashea na wateja wa guest house iliyoungwanishwa na baa. Yaani wateja wengi wanajisaidia nje hasa mkojo kwa wote wanawake na wanaume. Nilijaribu kuuliza mbona anauza kuliko baa yeyote Tabora mjini lakini anashindwa kurekebisha choo, hata maji na usafi tu. Wamiliki wa baa, lindeni afaya ya wateja wenu/Habari wanajamvi,
Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.
Naona uwekezaji kwenye hii sekta umekuwa mkubwa sana kwa sasa lakini wamiliki wa haya maeneo wanapuuzia kufanya marekebisho au Usafi wa nguvu ktk haya maeneo hapa nazungumzia Vyoo.
Nimezunguka Bar na Lounge nyngi sana kwenye hii nchi(200+) lakini tatzo la uchafu na vyoo visivyoeleweka limekua Common kwny haya maeneo mengi niliyopita.
Wamiliki watilie mkazo na suala la Vyoo siyo kushindana tu kuweka wahudumu wazuri na wenye makalio makubwa na kusahau sehemu hii nyeti.
NAWASILISHA.
Pale bei ni 5000 kwa soda kama ilivyo Hyatt regencySerena juice ni shilling 10,000/= glasi moja, kwahiyo coca lazima itakuwa pungufu ya bei hiyo, sijawahi kunywa soda hotelini hata bei zake sizingatiagi.
Kwa mazingira yao km bei ndo hyo basi ni affordable kabisa..Pale bei ni 5000 kwa soda kama ilivyo Hyatt regency
Aiseeee hiki kitu kinakera sanaaa nmeshakutana nacho pia kwny bar nyng na hata lounge kwakweliii na kinakatisha hadi hamu ya kupiga mitungi aiseeeee...Nilikuwa Tabora wiki zilizopita kuna kiota kimoja kipya tena kinaitwa kiota by name.Kinahappen sana ila lilipokuja suala la choo, sio tu ni-vichafu,havisafishwi, vinatoa harufu kali bali havijatenganishwa vya wanawake na wanaume. Kibaya wateja wa baa wanashea na wateja wa guest house iliyoungwanishwa na baa. Yaani wateja wengi wanajisaidia nje hasa mkojo kwa wote wanawake na wanaume. Nilijaribu kuuliza mbona anauza kuliko baa yeyote Tabora mjini lakini anashindwa kurekebisha choo, hata maji na usafi tu. Wamiliki wa baa, lindeni afaya ya wateja wenu/