KERO Wamiliki wa Baa na Lounge mjirekebishe kwenye huduma ya vyoo, mnajisahau sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwamba misosi kdogo inakua na bei affordable huko syo
 
Ni kweli, kuna siku nilienda Samaki samaki pale mlimani, vyoo vyao visafi kabisa.
Samaki samaki wana standard. Hata ya Masaki vyoo visafi kuna hadi TV chooni. Kwenye urinals wanaweka ice cubes ambazo baa za uswahili ukiomba wakuwekee kwemye juice watakwambia hawana.
 
Watu wanazungumzia vyoo vya bar mtaani wengine wanazungumzia Serena na Hyatt! Unategemea vyoo vya 5* Hotel vitakuwa vichafu?
 
Watu wanazungumzia vyoo vya bar mtaani wengine wanazungumzia Serena na Hyatt! Unategemea vyoo vya 5* Hotel vitakuwa vichafu?
Kwakwelii hakuezi kukawa na mlingano kbsa kiongozi lakn kuna hadi Bar kubwa na lounges kubwa ambzo znapokea hadi raia wa kigen lakn uchafu vyooni ni keroooo
 
Kwamba misosi kdogo inakua na bei affordable huko syo
Hizi hotel kubwa ukitaka kuenjoy chakula lipia buffet kama bei iko kwenye uwezo wako, utakula misamaki, kuku, beef steak na kila kila kitu kwa kurudia mpaka ushibe ndindindi na kunakuwa na offer ya glasi ya juice.
 
Bei za buffet zina range kiasi gan huko..
 
Nilikuwa Tabora wiki zilizopita kuna kiota kimoja kipya tena kinaitwa kiota by name.Kinahappen sana ila lilipokuja suala la choo, sio tu ni-vichafu,havisafishwi, vinatoa harufu kali bali havijatenganishwa vya wanawake na wanaume. Kibaya wateja wa baa wanashea na wateja wa guest house iliyoungwanishwa na baa. Yaani wateja wengi wanajisaidia nje hasa mkojo kwa wote wanawake na wanaume. Nilijaribu kuuliza mbona anauza kuliko baa yeyote Tabora mjini lakini anashindwa kurekebisha choo, hata maji na usafi tu. Wamiliki wa baa, lindeni afaya ya wateja wenu/
 
Serena juice ni shilling 10,000/= glasi moja, kwahiyo coca lazima itakuwa pungufu ya bei hiyo, sijawahi kunywa soda hotelini hata bei zake sizingatiagi.
Pale bei ni 5000 kwa soda kama ilivyo Hyatt regency
 
Aiseeee hiki kitu kinakera sanaaa nmeshakutana nacho pia kwny bar nyng na hata lounge kwakweliii na kinakatisha hadi hamu ya kupiga mitungi aiseeeee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…