Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kweli kabisa. Wanauza dawa za kulevya kwa siriPunda Hao
Ni sawa, lakini mbona t-shirt ni zile zile na zimetegeshwa kwenye henga zile zile. Nani huwa ananunua na ni kwa muda gani?Biashara sio mpka ujaze duka
Basi watakuwa wana badilisha hengaNi sawa, lakini mbona t-shirt ni zile zile na zimetegeshwa kwenye henga zile zile. Nani huwa ananunua na ni kwa muda gani?
ππ€£ππ€£Weseepuff daddy is typing....
Labda hizo ni showrooms
ππππ kabla hatujakupa code ya mafanikio, kwanza unaweza kulala chumba kimoja na chatu?Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW
Unaamua kuvuta muda uone kama kuna mteja ataingia lakini wapi. Cha ajabu ukipita kesho unakuta fremu limefunguliwa huku bidhaa ni zilezile nne. Halafu bila aibu anafungua saa 5
Hivi nini hasa ni siri ya urembo?
Kwenye hizo t shirt 2 mnazoning'iniza mwezi mzima ndizo ambazo mnalipia kodi ya fremu?
Na hili nalo Mama akalitazame kwa kina
Naombeni siri ya urembo
Hizo ni cover up, ni geresha, wana biashara nyingine behind the scene ambazo ni kinyume na sheria za nchi mara nyingiInashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW
Unaamua kuvuta muda uone kama kuna mteja ataingia lakini wapi. Cha ajabu ukipita kesho unakuta fremu limefunguliwa huku bidhaa ni zilezile nne. Halafu bila aibu anafungua saa 5
Hivi nini hasa ni siri ya urembo?
Kwenye hizo t shirt 2 mnazoning'iniza mwezi mzima ndizo ambazo mnalipia kodi ya fremu?
Na hili nalo Mama akalitazame kwa kina
Naombeni siri ya urembo