Wamiliki wa fremu Sinza zenye tisheti mbili tu na kiyoyozi, tunaombeni siri ya urembo

Kuna dada mmoja ana uzuri wake akiwa mjini na gari yake utadhani labda ana mwanaume anamtunza, ila huyu dada ukimkuta mwanza ziwani akigombana na wavuvi hutaamini, ananuka shombo hafai. Inasemekana ana tenda za samaki za mahoteli makubwa na ana wavuvi wake ziwani hivyo akiwa na tenda anasimamia mchakato wote kuanzia kuparua mpaka kuwapaki ila akiwa mjini hajulikanagi anafanya nini. Huyu ni mfano hai kabisa na ukimuona akiwa dar anaamka na kuendesha gari yake utakachohitimisha ni kuwa anadanga tu ila uhalisia ni dada ni jembe haswa kwenye kupiga kazi na kuchungulia fursa.

Tukiachana na madawa na ufreemason sijui kuuza mwili, pengine huyo mtu anachukua mabelo mjini hapo yanasafirishwa mikoani huko kwa jumla na ana wateja wake singida, iringa, njombe, makambako ambao akipakia mizigo inalipa frem ambayo ni ofisi tu pa kukutania na watu.

Tusikatishwe tamaa na mawazo negative, tuwe positive.
 
Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW

Unaamua kuvuta muda uone kama kuna mteja ataingia lakini wapi. Cha ajabu ukipita kesho unakuta fremu limefunguliwa huku bidhaa ni zilezile nne. Halafu bila aibu anafungua saa 5

Hivi nini hasa ni siri ya urembo?
Kwenye hizo t shirt 2 mnazoning'iniza mwezi mzima ndizo ambazo mnalipia kodi ya fremu?

Na hili nalo Mama akalitazame kwa kina

Naombeni siri ya urembo
Labda TRA
 
Parachute oil is typing
 
Ji

Jichanganye ukaulize Kitu bei utakayoambiwa utakimbia🚶🚶🚶🚶
 
Hizo ni cover up, ni geresha, wana biashara nyingine behind the scene ambazo ni kinyume na sheria za nchi mara nyingi
Exactly!
Hizo kazi huwa ni geresha tu ili kuwazuga watu, wengi wao wanafanya kazi za udhalimu za kificho tofaufi kabisa na hizo wanazozionyesha kwa Watu hadharani.

Nchini Urusi kuhusiana na scenario za namna hii kwa kawaida huwa Wana msemo wao kwamba "an intelligence work is not your primary job in your life, it's a secondary one." Raia wa nchi za nje wanaozuru Urusi ambao hawajui maana ya msemo wao huu mara nyingi Sana huwa wanakuwa Waathirika WAKUBWA au wanakuwa Wahanga wakubwa Sana kwa kupuuzia msemo huu. Wengi wao wahamiaji hao wamekuwa wakirudishwa nchini mwao walikotokea aidha wakiwa wagonjwa, wakiwa madishi yao yameyumba au wakiwa kwenye masanduku baada ya 'kujichanganya hovyo' nchini Urusi.
 
Exactly!
Hizo kazi huwa ni geresha tu ili kuwazuga watu, wengi wao wanafanya kazi za udhalimu za kificho tofaufi kabisa na hizo wanazozionyesha kwa Watu hadharani.

Nchini Urusi kuhusiana na scenario za namna hii kwa kawaida huwa Wana msemo wao kwamba "an intelligence is not your primary job in your life, it's a secondary one." Raia wa nchi za nje wanaozuru Urusi ambao hawajui maana ya msemo wao huu mara nyingi Sana huwa wanakuwa Waathirika WAKUBWA au wanakuwa Wahanga wakubwa Sana kwa kupuuzia msemo huu. Wengi wao wahamiaji hao wamekuwa wakirudishwa nchini mwao walikotokea aidha wakiwa wagonjwa, wakiwa madishi yao yameyumba au wakiwa kwenye masanduku baada ya 'kujichanganya hovyo' nchini Urusi.
Bro unamaanisha nini katika huo msemo!? Tafadhali nitafunie zaidi 🙏🏾
 
Back
Top Bottom