adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Hapakosi Nyoka hapoSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapakosi Nyoka hapoSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Nchi ngumu Kila sehemu hii.Sometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Ukichungulia uvunguni unakutana ndom mbichi ina mbeguSometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Lodge iwe na turn over ya 180 millions kwa mwaka ?Wewe kweli ni hewa tu! Unakuja na hesabu za kiduwanzi!
Kwa hivyo vyumba 10, kwa malipo ya 50k kwa siku, mapato ni zaidi million180, ikitumika hiyo million 3 kuna hasara gani, wakati running cost haifiki hata million80?
Wewe utakuww mhudumu wa guest house siyo bure!!
Link Hill Hotel,Makuna Lodge,1 on One Lodge,Durban Hotel naona zipo nyingi huwa nikipita hapo yeyote ntakayolala mpya kwangu wapo poa tuu sema huwa naangalia TripAdvisor na Airbnb kwanza...Mkuu
Makambako lodge gani nzuri
Khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu dogo wala hajali ila niliharibu maji niliacha yakavuja usiku mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heater Haifanyi kazi.
Lodge nyingine nilikuta mafuta ya mgando mengi tuu pembeni ya kitanda .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ume describe lodge za Mbagala, zile za self Bei elfu kumi.
[emoji7][emoji7]Sometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Mwanza ni bei rahisi, nililala hotel chumba cha 13000 safi kabisa.Mwanza wana hotel nzuri sana kwa bei ya kawaida kabisa
Dodoma imezidi, hotel nyingi ni overrated
Acha uongo itaje jina hotel hata moja ya 60k hapo ubungo yenye upuuzi huo
Ww umezoea kulala gest bubu za 15k unataka kuhalalisha upuuzi huo na kwenye hotel
Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Kuna Lodge nyingine hata ufike saa11 asbh mwisho ni saa4 otherwise usubiri mpk saa4 ndio uchukue chumba, nimekutana nazo hizo Mkoa fulani maana tunasafiri masaa24 unajikuta umeingia huo Mkoa saa10 au 11 asbh sasa umechoka unasema ngoja nichukue room nipumzike unakutana na mwisho saa4Hiv hii kwann iki hiv???.. Yan hata kama nimeingia jana saa 8 usiku ila saa 4 mwisho, maana yake nini???
Aisee umefanya nimecheka sanaSiku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
30.madirisha ya vioo vya u slide,lakin lock mbovu28. Kunguni
29. Harufu mbaya ya uvundo vyumbani
30. .,..
Aisee!Shida ni where I we inquire.. do we compassate to the situation and what was we been paid for the Accommodation and the shelter [emoji23][emoji1787]