Wamiliki wa mabasi park magari yenu kama mnawapenda madereva wenu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
 
Shida ni nini.. kila uzi hautoi chanzo bali mdako wa mipasho tu

Wengine Sie tulikuwa tunahofia alninyo ya kichina itakata konekshen sasa kumbe usafiri umeandamwa.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…