Wamiliki wa mabasi ya mikoani,vunjeni mkataba

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Waungwana nawambia hawa wamiliki wa mabasi ya mikoani wakishirikiana dereva na makondakta,ni wakati sasa wa kuvunja mkataba na hiyo kampuni miliyoingia nayo kwa kuwasambazia video za muziki na picha(Movie)kama hiyo kampuni ipo.

Nimesafiri mikoa kadhaa hapa bongo lakini kitu ninachokutana nacho ndani ya gari ni maajabu ya miaka na si mwaka,muda mwingine tunatamani kuwaambia kabisa zimeni hizi kelele.

Utakuta ndani ya gari zinapigwa nyimbo hazieleweki kabisa,muda mwingine unatamani kujiliwaza na umbali wa usafiri lakin unabaki kama mtu unabeti vile,(labda itakayokuja inakuwa nzuri,basi inakuwa kituko kuliko hata kilichotoka)akisha play muziki na ikaisha ndio anaweka movie,sasa hapa ndio kwenye hekaheka,yaan movie tokea tupo wadogo unatuwekea leo hii????inamaana hiz mp4 zao hazi play video/movie za kisasa???kila basi hivyohivyo tumeshakariri ikitoka hii inakuja hichi.

Kwa hiki ninachokiona nadhani kuna mtu alipewa hii tender ya ku_supply hizi flash haiwezekani mabas yakafanana hivi kila ukipanda.

NAWASHAURI TU WAVUNJE MKATABA KM KUNA KAMPUNI IMEPEWA KAZI HII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo movie ya mtoto wa smith kelo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ipo sehemu nyingi. Kuna kipindi niikuwa nasafiri kwa bus toka Harare kwenda Jburg, wakaweka mahubiri kwa lugha ya kishona. Yaani ilikuwa tabu tupu. Kuwaambia wala hawasikilizi!
 
Back
Top Bottom