BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mikoa mingi ya pembezoni Ina ushindani wa kampuni za mabus mfano mkoa wa Kagera ambao ni mbali zaidi ya mkoa wa Ruvuma kutokea Dar ila kampuni kama Aboods, Frester, Happy Nation, Friends, city boy wote Wana route huko.
Mkoa wa Ruvuma makampuni ya mabus ni mawili Superfeo na Newforce but Newforce ni kama msindikizaji kwenye chaka la Superfeo kwa kifupi unaweza kusema Superfeo ndio kashika mkoa wa Ruvuma na wilaya zake zote hii inatutesa sana wenyeji wa Kusini ni either unaridhika ama uridhishwi na huduma za Superfeo utalazimika kupanda bus lao.
Kuna tetesi ambazo sio rasmi serikali kupitia aliyekuwa afisa mwandamizi wa ikulu ambaye kwa sasa anatumika kupeleka pesa za goli la mama ambaye ni mngoni mwenzetu wanafanya hujuma ili kampuni Moja tu ndiyo ibaki route ya Songea inasemekana na yeye ni miongoni mwa Wana hisa wakubwa wa kampuni hiyo.
Hatuna shida na Superfeo tunataka tuwe na wigo mpana wa kuchagua bus la kusafiri nalo kama wenzetu wa Mbeya, Dodoma, Mwanza, Moshi, Arusha n.k